Psalms 34:2-3

2 aNafsi yangu itajisifu katika Bwana,
walioonewa watasikia na wafurahi.
3 bMtukuzeni Bwana pamoja nami,
naam, na tulitukuze jina lake pamoja.
Copyright information for SwhNEN